Unamkumbuka mwanaharakati huyu?
Ernesto Rafael Guevara de la Serna au Che Guevara, ni mwanaharakati aliyekuwa na itikadi za kisosholisti na anajulikana sana kwa harakati zake za kimapinduzi dhidi ya tawala za kikoloni.
Kati ya kauli zake ninazo zikumbuka ni hii" I am not a liberator. Liberators do not exist. The people liberate
themselves" kauli yake hii aliitoa mnamo mwaka 1958 huko Mexico.
Je unaitazamaje kauli ya Che?
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.